
YANGA WATOA BURUDANI KIMATAIFA UGENINI
BURUDANI imetolewa kwa Wananchi kàtika anga la kimataifa wakishuhudia ubao ukisoma Al Merrick 0-2 Yanga Chini ya Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamond ukuta umekuwa imara licha ya kutokuwepo kwa nahodha Bakari Mwamnyeto ambaye ana matatizo ya kifamilia. Kennedy Musonda dakika ya 60 na Clement Mzize dakika ya 79 walikamilisha kazi ya kwanza mchezo wa…