
GAMONDI KWENYE VIATU VYA NABI
TARATIBU Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameanza kuwa kwenye viatu vya Nasreddine Nabi kutokana na mbinu zake kuwa kwenye mrandano wa Nasreddine Nabi aliyewahi kuwa kocha wa Yanga. Nabi alikuwa imara kwenye mbinu za kubadili mchezo kwa kutumia wachezaji walioanza kusugua benchi na walipoingia waliwapa tabasamu mashabiki na wachezaji kiujumla. Ikumbukwe kwamba katika mchezo…