>

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA AZAM FC

KIKOSI cha Simba dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation:- Ally Salim ameanza langoni Shomari Kapombe Mohamed Hussein Joash Onyango Henock Inonga Sadio Kanoute Clatous Chama Mzamiru Yassin Jean Baleke Ntibanzokiza Kibu Dennis

Read More

AZAM FC V SIMBA,ACHA IWE NA REKODI ZAO

UKIAMINI umesimama muhimu uendelee kupambana ili usianguke itafahamika leo Mei 7, Uwanja wa Nangwanda Sijaona kwenye mchezo wa nusu fainali Azam Sports Federation. Timu zote zinaingia uwanjani zikiwa na kazi ya kusepa na ushindi ili kutinga hatua ya fainali unaambiwa acha moto uwake mshindi apatikane. Hapa  tunakuletea namna uimara ulivyo kwa wapinzani hawa wawili namna…

Read More

WAPINZANI WA YANGA KUTUA BONGO

MARUMO Gallants kutoka Afrika Kusini ambao ni wapinzani wa Yanga kwenye hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika wanatarajiwa kutua Bongo, Mei 8,2023. Ni Kesho Jumatatu wanatarajiwa kutua Dar tayari kwa mchezo wao wa kwanza wa nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Yanga. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Dar…

Read More

MUZIKI HUU WA SIMBA KUWAVAA AZAM FC

BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kuwa mchezo wao wa nusu fainali dhidi ya Azam FC watacheza wachezaji wote wa timu hiyo kwa kuwa wanatambua wajibu ni lazima utimizwe. Ni Yanga wenye taji hilo mkononi ambapo watacheza na Singida Big Stars hatua ya nusu fainali ya pili na mshindi atavaana na atakayepenya leo. Leo Simba…

Read More

AZAM FC YAFUNGA KAZI KUIKABILI SIMBA

KALI Ongala, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa tayari wamefunga hesabu za mchezo wao wa nusu fainali ya Kombe la Azam Sports Federatino dhidi ya Simba. Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga ambao wao watacheza na Singida Big Stars mchezo wa hatua ya nusu fainali. Mshindi wa mchezo wa leo atakutana na mshindi…

Read More

MAKIPA BONGO MAKOSA MUHIMU KUFANYIA KAZI

MAKIPA wengi wamekuwa wakiingia kwenye lawama kutokana na kufungwa mabao ambayo yanaleta maswali baada ya mchezo husika. Hii imekuwa ikiwakumba makipa wote wale wageni na hawa makipa wazawa nao wamekuwa kwenye kasumba hii jambo ambalo halipendezi. Ukweli upo wazi kwamba mpira ni mchezo wa makosa lakini yanapozidi ni muhimu kufanyia kazi na kila mmoja kutimiza…

Read More

DUBE MWAMBA KWELIKWELI UJUE

MWAMBA huyu hapa ukimuona tu uwanjani lazima kipa wa timu pinzani ajue leo kazi ninayo. Anaitwa Prince Dube mpeleka maumivu kwa Simba kwenye mechi zote mbili za Ligi Kuu Bara akiwa anashikilia rekodi ya kufunga bao la mapema zaidi mbele ya Simba. Mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Mkapa uliposoma Azam 1-0 Simba mtungaji…

Read More

WAKALI WAKIWA LANGONI HAWA HAPA

MIONGONI mwa makipa ambao hawajafungwa kwenye mechi zaidi ya tano jina la Said Kipao ambaye yupo chini ya Kocha Mkuu, Mecky Maxime jina lake pia. Anakumbuka alikuwa langoni alitunguliwa mabao matano na Yanga kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Kipa huyo wa Kagera Sugar hajafungwa kwenye mechi sita ndani ya Ligi Kuu…

Read More

SIMBA KAMILI KUIKABILI AZAM FC

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Azam FC. Mshindi wa mchezo huo atakutana na mshindi kati ya Singida Big Stars v Yanga mchezo unaotarajiwa kupangiwa tarehe kutokana na Yanga kuwa na kazi ya kusaka ushindi mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Ni Mei…

Read More

ISHU YA FEISAL TFF HUKUMU IMEGOTEA HAPA

KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji la Shirikisho la MPIRA wa Miguu Tanzania,(TFF) limetupilia mbali maombi ya Feisal Salum kuhusu kesi yake na Yanga. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo imeeleza kuwa Mei 4,2023 pamoja na mambo mengine lilisikiliza shauri la mchezàji Feisal Salum aliyewasilisha malalamiko akitaka kuvunja…

Read More

MANCHESTER UNITED WAPOTEZA POINTI JIONI

POINTI tatu za kikatili wamesepa nazo Brighton mbele ya Manchester united ambao walikuwa wanadhani wangeweza kupata angalau pointi moja ugenini. Ubao wa Uwanja wa Falmer ulibadilika usomaji wake dakika ya 90+9 uliposoma Brigton 1-0 Man U. Bao la pekee la ushindi mtupiaji ni Alexis Mac Allister aliwanyanyua mashabiki wa timu yake na kuwapa maumivu wale…

Read More

HUU HAPA MTAMBO WA MABAO MTIBWA SUGAR

NDANI ya Ligi Kuu Bara mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Charles Ilanfya ametupia mabao manne akiwa ni namba moja kwa utupiaji kwenye kikosi hicho kilicho nafasi ya 12 na pointi 29. Ikumbukwe kwamba kinara wa utupiaji anatokea ndani ya Yanga ambaye ni Fiston Mayele mwenye mabao 16. Ni mabao 27 safu ya ushambuliaji ya Mtibwa Sugar…

Read More