
YANGA YAITUNGUA REAL BAMAKO KIMATAIFA
BAADA ya Fiston Mayele kupachika bao la kuongoza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi msumari mwingine umejaa kimiani. Ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Yanga 2-0 Real Bamako ikiwa ni mchezo wa kimataifa. Mayele alianza kupachika bao dakika ya 8 akiwa ndani ya 18 lilidumu mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza….