Home Sports MANULA KIMATAIFA KWENYE DAKIKA 180 ZA KICHEKO

MANULA KIMATAIFA KWENYE DAKIKA 180 ZA KICHEKO

SHUKRANI kwa Aishi Manula namna ambavyo amekuwa akizungumza na mabeki wake licha ya makosa ambayo hayazuiliki.

Manula kwenye mechi mbili mfululizo anga za kimataifa hajatunguliwa mechi ambazo amekaa langoni dhidi ya Vipers Uganda.

Kazi kubwa kwa safu ya ulinzi pamoja na viungo bila kusahau washambuliaji kwa kuwa kuwa wakati walikuwa wanarejea nyuma kulinda.

Dakika 180 bora kwa Simba zinapaswa kuwa na mwendelezo ambapo kwenye safu ya ushambuliaji ni muhimu kuongeza umakini ili kufunga mabao mengi zaidi,

Pia kwenye mchezo dhidi ya Horoya ugenini aliokoa penalti moja licha ya Simba kutunguliwa kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Previous articleMWAMBA HUYU AINGA ANGA ZA JANGWANI
Next articleKIKOSI CHA YANGA DHIDI YA REAL BAMAKO