KOSI LA YANGA DHIDI YA REAL BAMAKO KIMATAIFA

NI leo ndani Stade du 26 Mars, Bamako Yanga wanakibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Real Bamako. Kikosi ambacho kinatarajiwa kuanza kipo namna hii:- Djigui Diarra Djuma Shaban Joyce Lomalisa Bakari Mwamnyeto Dickson Job Khalid Aucho Jesus Moloko Yannick Bangala Fiston Mayele Mudhathir Yahya Kennedy Musonda Akiba ni Metacha Mnata Doumbia Kibwana Mauya Sure Boy…

Read More

YANGA :TUNAHITAJI MAOMBI KIMATAIFA

IKIWA leo inatarajiwa kutupa kete yake ya tatu kimataifa dhidi ya Real Bamako mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika benchi la ufundi limeomba dua kutoka kwa Watanzania. Yanga ipo nafasi ya pili kwenye kundi D baada ya kucheza mechi mbili imekusanya pointi tatu sawa na TP Mazembe wakiwa tofauti kwenye mabao ya kufunga na kufungana….

Read More

SIMBA NDANI YA DAR

BAADA ya kukamilisha dakika 90 za kimataifa ugenini tayari kikosi cha Simba kimerejea Dar. Februari 25,2023 kilishuka Uwanja wa St Mary’s kusaka pointi tatu dhidi ya Vipers ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Vipers 0-1 Simba huku mtupiaji akiwa ni Henock Inonga aliyepachika bao…

Read More

NABI:REAL BAMAKO NAWATAMBUA, MCHEZO UTAKUWA MGUMU

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa anawafahamu wapinzani wake Real Bamako hivyo ataingia kwa tahadhari. Leo Februari 26 Yanga inatupa kete yake ya tatu kwenye hatua za kimataifa katika Kombe la Shirikisho hatua ya makundi. Kete ya kwanza Yanga ilipoteza ugenini dhidi ya US Monastir kisha ikpata ushindi dhidi ya TP Mazembe…

Read More

SIMBA YASEPA NA POINTI TATU KIMATAIFA

HATIMAYE kikosi cha Simba kimeibuka na ushindi kwenye mchezo wake wa kwanza hatua ya makundi ikiwa ugenini. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa St Mary’s umesoma Vipers 0-1 Simba na kuwafanya wasepena pointi tatu mazima. Mtupiaji wa bao la ushindi ni Henock Inonga ambaye aliwapa furaha wachezaji wenzaki ikiwa ni pamoja na Kibu…

Read More

KMC YAPOTEZA KWA MARA NYINGINE TENA

IKIWA ugenini leo Februari 25 imepoteza kwa mara nyingine tena ukiwa ni mchezo wa ligi. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex umesoma Azam FC 1-0 KMC. Ni mchezo wa pili mfululizo KMC kupoteza ikiwa Dar katika msako wa pointi tatu ikiwa inaongozwa na nahodha Emmauel Mvuyekule. Ilitoka kunyoshwa bao 1-0 dhidi…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA VIPERS YA UGANDA

SIMBA leo ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Vipers ya Uganda mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Kikosi cha Simba ambacho kitaanza leo kipo namna hii:-Aishi Manula ameanza langoni, Shomari Kapombe, Henock Inonga, Joash Onyango na Mohamed Hussein katika ukuta. Mzamiru Yassin na Sadio Kanoute katika viungo wakabaji na Kibu Dennis, Ntibanzokiza na Clatous…

Read More

YANGA KAZINI KESHO KIMATAIFA

JUMAPILI Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Real Bamako ikiwa ni mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga imetoka kupata ushindi wa mabao3-1 dhidi ya TP Mazembe kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Cedrick Kaze, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho na wana imani…

Read More

SIMBA:VIPERS HATUWAACHI SALAMA

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa hawatawaacha Vipers salama kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika licha ya kuwa watakuwa ugenini. Simba kwenye kundi C inaburuza mkia ikiwa haijakusanya pointi baada ya kucheza mechi mbili ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Horoya na ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 0-3 Raja Casablanca….

Read More

MAJOGORO AFUNGUKIA KICHAPO YANGA

BARAKA Majogoro kiungo wa KMC amesema kuwa sababu ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Yanga ni kushindwa utumia nafasi ambazo walizipata pamoja na wapinzani wao kutumia zile ambazo walipata. Februari 22 KMC ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Mwamba huyo mwenye rasta kichwani alianza kikosi…

Read More

KIMATAIFA TABASAMU LINAHITAJIKA

HAKUNA utani wa ngumi kwenye maisha ya siku zote ipo hivyo hata kwenye furaha pia hupaswi kuweka maumivu kila siku lazima uishi kwenye furaha siku zote. Kazi kubwa kwa sasa wawakilishi wa Tanzania wanakwenda kutupa kete zao nyingine kwenye anga za kimataifa kutokana na kuwa na majukumu ya kupeperusha bendera ya Tanzania. Simba mwendo wao…

Read More

YANGA WAIVUTIA KASI BAMAKO

MAANDALIZI ya nyota wa Yanga kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Real Bamako ya Mali yamezidi kupamba moto. Kesho Februari 26 timu hiyo ina kibarua cha kupeperusha bendera kwenye mchezo wa Kimataifa dhidi ya Real Bamako. Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ameweka wazi kuwa maandalizi yanakwenda vizuri na wanahitaji matokeo chanya…

Read More

ZIGO ANALOBEBESHWA BOCCO SIO SAIZI YAKE

NIMEONA kwa sasa lawama nyingi zimekuwa kwenye safu ya ushambuliaji ya Simba kitaifa na kimataifa, hakika ni kweli wanakosea na wanashindwa kufunga lakini je lawama hizi zinamstahili John Bocco pekee? Ukianza kwenye mechi za ligi ule dhidi ya Azam FC wakati wakitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 bado Bocco anatajwa kuwa sababu za Simba kushindwa…

Read More