
JEMBE HILI SIMBA KUPEWA MKATABA
IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Mhispania, Franco Pablo, muda wowote atawaambia mabosi wa timu hiyo wampe mkataba kiungo mkabaji Mnigeria, Udoh Etop David. Mingeria huyo yupo Unguja, Zanzibar akiendelea na majaribio ya timu hiyo iliyopo katika michuano ya Kombe la Kagame. Wachezaji wengine waliopo katika majaribio hayo ni Muivory Coast, Chekhi Moukoro na Msudan,…