
SALAH AVUNJA UKIMIYA LIVERPOOL
MOHAMED Salah amesema hatma yake ndani ya Liverpool iko mikononi mwaka bodi ya klabu hiyo, ila yeye anapenda kuendelea kubaki Anfield. Ishu ya Salah kusaini mkataba mpya ndani ya Liverpool imekuwa ikizungumzwa tangu mwaka jana lakini hakuna muafaka uliofikiwa mpaka sasa. Salah anatarajiwa kumaliza mkataba wake ndani ya miezi 18 ijayo katika klabu hiyo na…