
KAZI INAENDELEA KWA TIMU ZA TAIFA,MUHIMU MIPANGO
WAMEANZA kwa mwendo mzuri wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars kwenye mchezo wao wa kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Niger. Sare ya kufungana bao 1-1 ugenini haina ubaya lakini ni muhimu kuweza kuendelea kuongeza juhudi hasa kwa mechi ambazo zinakuja ili kuweza kufuzu Afcon. Mchezo ujao wachezaji bado wana kazi ya kusaka…