
SAUTI: MABOSI SIMBA WAMJADILI KOCHA MPYA
UONGOZI wa Simba unatajwa kuingia chimbo kumsaka mrithi wa Zoran Maki na kwa sasa Simba ipo chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda ambaye ameiongoza timu hiyo kwenye mechi tatu, Meneja wa Habari na Mawasiliano ndani ya Simba Ahmed Ally amebainisha kuwa mchakato wa kumsaka kocha mpya umeanza