
AZAM FC WAPINDUA MEZA MBELE YA KAGERA SUGAR
LICHA ya Kagera Sugar kuanza kufunga kupitia kwa Anuary Jabir dk ya 10 mbele ya Azam FC,walikwama kupata pointi tatu jumlajumla. Ilikuwa katika Uwanja wa Azam Complex, Agosti 17, meza ilipinduliwa kupitia kwa Prince Dube aliyepachika bao la kwanza dk ya 17 na lile bao la ushindi kwa Azam FC lilifungwa na Tepsi Evance dk…