
YANGA ANAYOITENGENEZA KOCHA NABI NI BALAA!
KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi katika ripoti yake ameagiza kila nafasi ya mchezaji wa kigeni lazima awepo mbadala wake mzawa mwenye uwezo mkubwa kama wake. Yanga tayari imefanikisha usajili wa wachezaji watatu wazawa katika usajili wao wa dirisha dogo lililofunguliwa Desemba 16, mwaka huu ambao unaendelea. Wachezaji hao wapya waliosajiliwa ni Salum…