
YANGA YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA KILINET NA N-CARDS
KLABU ya Yanga leo Januari 5 imeingia makubaliano na Kampuni za KILINET na N-Cards kwa ajili ya kutengeneza kadi za kidigitali zitazokuwa zinatumiwa na Wanachama wa timu hiyo. Hiyo ni sehemu ya hatua za awali kwenye mfumo mpya wa uendeshaji ambapo kadi moja itauzwa shilingi 29,000. Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha amesema kuwa…