
NI SIMBA V AZAM FC FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI
USHINDI wa mabao 2-0 walioupata Simba leo Januari 10 dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Amaan katika Kombe la Mapinduzi unawafanya waweze kutinga hatua ya fainali. Ni mabao ya Meddie Kagere dakika ya 14 na PapeSakho dakika ya 48 yametosha kuwapa ushindi Simba. Sasa Simba itakutana na Azam FC kwenye mchezo wa…