
ALIYEWAMALIZA SIMBA KIMATAIFA YUPO TAYARI KUVAA UZI MWEKUNDU
MSHAMBULIAJI Mnamibia wa timu ya Jwaneng Galaxy ya Botswana, Rudath Wendell ambaye alifunga mabao mawili dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Mkapa, katika mchezo wa hatua ya kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika ameweka wazi kuwa yupo tayari kujiunga na Yanga ikiwa watapeleka ofa inayoeleweka. Oktoba 24, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Wendell mwenye…