
RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO DESEMBA 24
BAADA ya mchezo wao uliopita dhidi ya Kagera Sugar kuahirishwa kutokana na asilimia kubwa ya wachezaji wa Simba kuumwa mafua na homa leo wanatarajiwa kuwa kazini. Desemba 24, Simba inatarajiwa kukaribishwa na Wanakino Boys, Uwanja wa Al Hassan Mwinyi, Tabora. Itakuwa ni KMC v Simba leo. Pia Coastal Union iliyotoka kushinda bao 1-0 dhidi ya…