>

PABLO HANA TATIZO NA PASCAL WAWA

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kilichotokea kwenye mchezo wa ligi dhidi ya KMC ni kutoelewana na mwamuzi. Jana Pablo akiwa benchi alionekana kumzuia Pascal Wawa asiweze kuingia kuendelea kutimiza majukumu yake. Kwenye mchezo huo ubao wa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ulisoma KMC 1-4 Simba na kuiwafanya mabingwa hao watetezi kusepa na…

Read More

METACHA MNATA ATAJWA KUIBUKIA YANGA

MLINDA mlango namba moja wa Klabu ya Polisi Tanzania, Metacha Mnata rasmi amevunja mkataba na aliyekuwa meneja wake Jemedari Said. Hili limekuja wakati huu ambapo Metacha anazungumzwa kuhitajika na Yanga ambao watakosa huduma ya kipa wao namba moja raia wa Mali Diarra ambaye anakwenda kujiunga na Timu yake ya Taifa katika michuano ya AFCON. Kwa…

Read More

REKODI ZA JEMBE JIPYA LA YANGA

REKODI za winga mpya wa Yanga, Chico Ushindi zinatisha jambo ambalo linaonesha ni kweli timuhiyo imepata jembe la maana ambalo litakuja kuongeza makali katika safu ya ushambuliaji ambayo kwa sasa inazidi kuwa kiwembe. Yanga tayari imekamilisha usajili wa mkopo wa winga huyo ambaye alikuwa anakipiga katika Klabu yaTP Mazembe ya nchini DR Congo. Katika mkataba huo, kuna kipengele cha nyota huyo anayetumia miguu yote kusakata kabumbu kujiungana Yanga moja kwa moja kama…

Read More

RASMI: SURE BOY ATAMBULISHWA YANGA

BREAKING: RASMI Kiungo Salum Aboubakhari ametambulishwa Yanga akiwa mchezaji huru. Nyota huyo alikuwa anakipiga ndani ya Azam FC ambapo mkataba wake ulikuwa unatarajiwa kumeguka msimu huu lakini aliomba kuvunja mkataba. Hiyo ilitokana na matatizo ya kinidhamu ambapo ilipelekea akasimamishwa kwa muda usiojulikana na hata walipoambiwa warudi kambini Sure Boy hakuwa tayari kurudi aliomba kuvunjiwa mkataba…

Read More

DAKIKA 90, KMC 1-4 SIMBA

SIMBA watakula Christmas wakiwa na pointi zao tatu kibindoni baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya KMC. Mchezo wa leo ulikuwa na ushindani mkubwa na mashabiki wengi walijitokeza Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kushuhudia mchezo huo. Simba waliweza kupachika mabao yao kupitia kwa Mohamed Hussein dk 10,Joash Onyango dk 13 na Kibu Dennis alipachika…

Read More

DAKIKA 45: KMC 1-2 SIMBA

UWANJA wa Ali Hassan Mwinyi dakika 45 zimekamilika kwa timu mbili kuonyeshana ubabe wa kusaka pointi tatu muhimu. Ubao kwa sasa unasoma KMC 1-2 Simba hivyo timu zote zinakwenda mapumziko zikiwa zimepata bao na Simba inaongoza. Mohamed Hussein alianza kupachika bao la kuongoza ilikuwa dakika ya 10 kisha dakika ya 12 Onyango Joash alipachika bao…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KMC

HIKI hapa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kinachotarajiwa kuanza dhidi ya KMC, mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora:- Aishi Manula Kapombe Shomari Hussein Mohamed Onyango Joash Henock Inonga Mkude Jonas Sakho Mzamiru Kagere Meddie Kibu Dennis Bwalya   Akiba Beno Gadiel Wawa Abdulsamad Dilunga Ajibu Mugalu…

Read More

KIKOSI CHA KMC KITAKACHOANZA DHIDI YA SIMBA

LEO Desemba 24, KMC inawakaribisha Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora. Hiki hapa kikosi cha KMC 1. Faroukh Shikalo 2.Kelvin Kijili 3.Nickson Kibabage 4.Andrew Chikupe 5.Abdulazack Mohamed 6.Ismail Gambo 7.Ken Mwambungu 8.Iddi Kipagwile 9.Matheo Anthon 10.Emmanuel Mvuyekule 11.Abdul Hassan   Akiba Juma Kaseja Ally Ramadhan Hassan…

Read More

YONDANI,NCHIMBI NA YONDANI NI WANAGEITA GOLD

KLABU ya Geita kwa sasa haitaki utani baada ya kukamilisha usajili wa wachezaji wakongwe na wenye uzoefu kwenye fani. Miongoni mwa wachezaji ambao watakuwa na uzi wa timu hiyo ni pamoja na nyota wa zamani wa Yanga na Polisi Tanzania, Kelvin Yondani, ambaye amesaini dili la mwaka mmoja Geita Gold, mkataba utakaomfanya kuziba safu ya ulinzi sambamba na Juma Nyosso ambaye tayari ameingia kwenye klabu…

Read More