LEO Desemba 24, KMC inawakaribisha Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora.
Hiki hapa kikosi cha KMC
1. Faroukh Shikalo
2.Kelvin Kijili
3.Nickson Kibabage
4.Andrew Chikupe
5.Abdulazack Mohamed
6.Ismail Gambo
7.Ken Mwambungu
8.Iddi Kipagwile
9.Matheo Anthon
10.Emmanuel Mvuyekule
11.Abdul Hassan
Akiba
Juma Kaseja
Ally Ramadhan
Hassan Ramadhan
Jean Mugiraneza
Martin Luseke
Cliff Buyoya
Abdalah Masoud
Mohamed Samatta
Hassan Kabunda