
ASINGEKUWA RONALDO,MESSI SALAH ANGEKUWA STAA DUNIANI
MOHAMMED Salah baada ya kufunga goli 20 na kutoa asisti za goli tisa katika michuano yote, Pat Nevin amesema kama dunia isingekuwa kwenye nyakati za Cristiano Ronaldo na Lionel Messi basi Salah angekuwa staa kwa sasa. Bao moja ambalo Salah alilifunga kwenye mechi ya mwisho ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya AC Milan kwenye…