>

MSHINDI WA SPORTPESA KUTOKA MOROGORO ASHINDA MKWANJA MREFU

MKAZI wa Morogoro amefanikiwa kuibuka mshindi wa mkwanja mrefu baada ya kufanikiwa kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kweye Jacpot ya wiki iliyopita, Mshindi wa SportPesa Jackpot bonus pichani ni Kassim Said Liuzilo mwenye miaka 52, ambaye ni kutoka Kilombero, Morogoro. Liuzilo ameshikilia mfano wa hundi ya shilingi 10,534,628 baada ya kubashiri kwa…

Read More

IHEFU WATAJA WALIPOELEKEZA NGUVU ZAO

ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu FC amesema kuwa alikuwa anawalinda wachezaji wake ili wasiweze kuumia kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa. jana Desemba 15. Katika mchezo huo Ihefu ilipoteza kwa kufungwa mabao 4-0 dhidi ya Yanga nawatupiaji walikuwa ni Heritier Makambo ambaye alifunga mabao matatu na Khalid…

Read More

MTIBWA SUGAR HAWAPOI,WAPIGA MTU KIFURUSHI CHA WIKI

BOBAN Zirintusa, mshambuliaji wa Mtibwa Sugar ni miongoni mwa mastaa waliosepa na mpira baada ya kufunga hat trick katika mchezo wa Kombe la Shirikisho. Aliweza kufanya hivyo Desemba 15 wakati timu ya Mtibwa Sugar ilipotoa dozi ya kifurushi cha wiki kwa Tunduma United ambapo baada ya dakika 90 ubao ulisoma Mtibwa Sugar 7-1 Tunduma United….

Read More

HUYU HAPA ATAJWA KUWA RADA ZA YANGA

IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi wapo kwenye hesabu za kumsaka winga wa kazi ili awe ndani ya kikosi hicho. Yanga inahitaji kufanya maboresho kidogo kwenye eneo la winga ili kuongeza makali kwenye kikosi hicho. Jina na Chico Ushindi winga mwenye miaka 25 anayekipiga ndani ya TP Mazembe anatajwa kuwa kwenye…

Read More

FT: YANGA 4-0 IHEFU FC

USHINDI wa mabao 4-0 dhidi ya Ihefu FC Uwanja wa Mkapa katika mchezo wa Kombe la Shirikisho raundi ya tatu unawafanya waweze kutinga raundi ya nne. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ilipachika mabao 3-0 kipindi cha kwanza na kuwafanya waende vyumba vya kubadilishia nguo wakiwa vifua mbele. Watupiaji wa Yanga ni Heritier Makambo…

Read More

YANGA:IHEFU NI BORA KULIKO SIMBA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa mchezo wa leo dhidi ya Ihefu ambao ni wa Kombe la Shirikisho ni bora kuliko ule wa Simba uliochezwa Jumamosi, Uwanja wa Mkapa na ngoma kukamilika kwa sare ya bila kufungana. Thabit Kandoro,Mkurugenzi wa Mashindano ndani ya Yanga amesema kuwa wanakazi kubwa ya kufanya mbele ya Ihefu FC kwenye…

Read More

SIMBA NA YANGA WAMEVUNA WALICHOKIPANDA

KUSHINDWA kutumia makosa ambayo mpinzani wako anafanya kwenye mpira ni sababu namba moja itakayofanya timu ishindwe kupata matokeo. Na yule ambaye hatafanya makosa ana uhakika mkubwa wa kupata kile ambacho anastahili hivyo ipo wazi kwamba matokeo hayapaswi kubebwa na mashabiki kwenye mifuko yao. Baada ya Kariakoo Dabi kukamilika Uwanja wa Mkapa tumeona baadhi ya mashabiki…

Read More

KOCHA JKT TANZANIA ATAJA WALIPOKWAMA MBELE YA SIMBA

ABDALAH Mohamed, ‘Bares’ Kocha Mkuu wa JKT Tanzania inayoshikiri Championship amesema kuwa walikwama kupata matokeo mbele ya Simba jana Desemba 14 Uwanja wa Mkapa kwa kushindwa kutumia nafasi ambazo walitengeneza. JKT Tanzania ikiwa Uwanja wa Mkapa ilishuhudia ubao ukisoma Simba 1-0 JKT Tanzania na kuondolewa kwenye raundi ya tatu ya Kombe la Shirikisho. Mtupiaji alikuwa…

Read More

NYOTA WATANO SIMBA WATAPIGWA PANGA

SIMBA huenda ikaachana na wachezaji watano mwishoni mwa msimu huu mara baada ya mikataba yao kumalizika,kati ya hao yupo beki Muivory Coast, Pascal Serge Wawa. Hiyo ni katika kuhakikisha wanakuwa na kikosi imara kitakachofanya vizuri msimu ujao kwenye mashindano mbalimbali.  Tayari uongozi wa Simba umeanza kufanya mazungumzo na baadhi ya wachezaji wapyawatakaowasajili.Mmoja wa mabosi wa Simba, ameliambia Spoti Xtra kuwa,  wachezaji hao baadhi wataachwa kutokana na umri mkubwa walionao….

Read More

MANCHESTER UNITED YAOMBWA MECHI KUPELEKWA MBELE

KLABU ya Manchester United imeomba Ligi Kuu ya Uingereza kuahirisha mchezo wa leo dhidi ya Brentford baada ya kulazimika kusitisha mazoezi ya kikosi chake cha kwanza Desemba 13 kotokana na Corona. Kitabu cha mwongozo cha Ligi Kuu ya 2021/22 kinajumuisha itifaki za UVIKO-19, na kinaruhusu bodi ya Ligi Kuu kupanga upya au kuahirisha mechi ya…

Read More