Home International ARSENAL YAITULIZA WEST HAM UNITED KUELEKEA X MASS

ARSENAL YAITULIZA WEST HAM UNITED KUELEKEA X MASS

WAMEANZA kutamba sasa kuelekea msimu wa X Mass Arsenal wamefanikiwa kubakiza pointi tatu muhimu katika uwanja wao wa nyumbani.

Ni katika mchezo wa Ligi Kuu England Arsenal imesepa na pointi tatu muhimu mbele ya West Ham United baada ya ushindi wa mabao 2-0.

Mabao ya Martinell dakika ya 48 na Smith Rowe ambaye alianzia benchi dakika ya 87 ni yaliipa ushindi timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu,Mikel Arteta.

Washika bunduki hao walikuwa katika Uwanja waa Emirates na kuweza kufanya yao kipindi cha pili kwa kuwa dakika 45 za awali ngoma ilikuwa 0-0.

Previous articleFT: YANGA 4-0 IHEFU FC
Next articleMASHINE HIZI MBILI MALI YA SIMBA,NDANI YA SPOTI XTRA ALHAMISI