>

SIMBA WAMESHINDA ILA CHA MOTO WAMEKIONA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba leo wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Godld baada ya dakika 90 kukamilika lakini cha moto wamekiona. Mchezo wa leo haukuwa mwepesi kwa Simba wala Geita Gold kwa kuwa timu zote mbili zilikuwa zinaupiga ule mpira wa darasani huku Geita Gold wakicheza kwa kujiamini wakati…

Read More

DAKIKA 45, SIMBA YAENDA MAPUMZIKO KIFUA MBELE

UWANJA wa Mkapa leo mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba dhidi ya Geita Gold tayari dakika 45 zimekamilika. Simba inakwenda mapumziko ikiwa mbele kwa bao moja kwa bila ambalo limefungwa na Peter Banda. Ilikuwa ni dakika ya 9 baada ya Simba kuanza kwa kasi kuliandama lango la Geita Gold ambao dakika tano za…

Read More

MBWANA MAKATA ANATAMBA NDANI YA TATU BORA

MBWANA Makata ni kocha mzawa pekee ambaye yupo ndani ya tatu bora kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22. Akiwa ndani ya Dodoma Jiji, Makata amekuwa kwenye mwendo bora ambapo mpaka sasa amekuwa akigawa zabibu kwenye mechi zake ambazo wanacheza na wachezaji wake wengi asilimia mia ni wazawa. Kikosi hicho baada ya…

Read More

SIMBA V GEITA GOLD, MINZIRO APEWA SOMO,ATHARI KWA SIMBA

KUELEKEA kwenye mchezo wa leo wa Simba v Geita Gold, mchambuzi wa masuala ya michezo ndani ya ardhi ya Tanzania, Mussa Mateja ameweka wazi kwamba mchezo wa leo utakuwa na ushindani kwa timu zote mbili. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Franco Pablo leo itawakaribisha Geita Gold kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja wa Mkapa. Mateja ameweka wazi…

Read More

ISHU YA DUBE NA LYANGA AZAM FC IPO NAMNA HII

HABARI njema kwa mashabiki wa Azam ni kurejea na kuanza mazoezi kwa mshambuliaji wao Mzimbabwe Prince Dube aliyekosekana kwa muda mrefu, huku chungu nyingine ikiwa ni ile ya kukosekana kwa kiungo mshambuliaji wao Ayoub Lyanga kwa muda wa miezi miwili.   Dube amekosekana uwanjani tangu mwezi Mei mwaka huu kutokana na tatizo la tumbo alilolipata…

Read More

GOMES:BANDA ANAHITAJI MUDA NDANI YA SIMBA

DIDIER Gomes ambaye aliamua kuondoka ndani ya kikosi cha Simba baada ya kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Jwaneng Galaxy Uwanja wa Mkapa amesema kuwa Peter Banda anahitaji muda. Gomes alikuwa ni Kocha Mkuu wa Simba na mafanikio yake makubwa ni kuipeleka Simba hatua ya robo fainali, alikwama kufanya vizuri kwa msimu wa 2021/22 kwa kuwa…

Read More

YANGA WAREJEA DAR,KITUO KINACHOFUATA NI DHIDI YA SIMBA

KIKOSI cha Yanga, leo Desemba Mosi,kimerejea Dar kikotea Mbeya ambapo kilikuwa kilikuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya Kwanza. Jana, Uwanja wa Sokoine baada ya dakika 90 ubao ulisoma Mbeya Kwanza 0-2 Yanga. Mabao ya Yanga yalifungwa na Fiston Mayele pamoja na Said Ntibanzokiza ambao wamekuwa katika ubora wao. Kituo kinachofuata kwa…

Read More

MABOSI NAMUNGO FC WAPEWA DAKIKA 90

MCHEZO wa Namungo FC dhidi ya Ruvu Shooting umeshikilia hatma ya Kocha Mkuu, Hemed Morocco na Mtendaji Mkuu, Omary Kaaya. Kwa mujibu wa Kamati Tendaji ya Namungo na mwenyekiti wake ni Hassan Zidadu imekubaliana kufanya hivyo baada ya kukaa kikao Jumatatu ya Novemba 29. Zidadu ameweka wazi kuwa wamekuwa na mwendo ambao hauridhishi katika timu…

Read More

CR 7 AWAKA KISA BALLON d’OR

CRISTIANO Ronaldo, nyota wa kikosi cha Manchester United ametoa ujumbe wenye hasira kuhusu Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia, (Ballon d’Or) baada ya mpinzani wake Lionel Messi kushinda. Mshambuliaji huyo wa Manchester United amemshutumu bosi wa Ballon d’or Pascal Ferre aliyetamka kuwa ndoto kubwa ya Ronaldo ni kumaliza maisha yake ya soka akiwa na tuzo…

Read More

SAKA HATIHATI KUIVAA MANCHESTER UNITED

WAKATI Arsenal wakiwa kwenye maandalizi ya mwisho kwa sasa kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu England dhidi ya Manchester United kuna hatihati ya kuweza kukosa huduma ya nyota Bukayo Saka. Licha ya matumaini kuwa makubwa bado mpaka sasa haijathibitishwa kwamba nyota huyo anaweza kucheza ama la mbele ya Manchester United. Ikumbukwe kwamba Saka ambaye…

Read More

AZAM FC YAITULIZA MTIBWA SUGAR JUMLAJUMLA

AZAM FC usiku wa kuamkia leo Desemba Mosi wameitungua Mtibwa Sugar bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Ushindi kwa Azam FC unaipa mwendo mgumu Mtibwa Sugar kwa kuwa haijui ladha ya ushindi mpaka sasa baada ya kucheza mechi saba na kibindoni ina pointi zake mbili. Ni bao la…

Read More