KIWANGO CHA SAIDO CHAMUIBUA KOCHA

BAADA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Said Ntibazonkiza ‘Saido’ kucheza mechi yake ya kwanza msimu huu ndani ya Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi ameonekana kuvutiwa na uwezo wake.    Saido alicheza mechi dhidi ya Ruvu Shooting iliyochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar ambapo aliingia kipindi cha kwanza akitokea benchi kuchukua nafasi ya Yacouba Songne aliyeumia. Huo unakuwa ni mchezo wake wa kwanza ndani…

Read More

CHAMA AKUBALI KUREJEA SIMBA

ALIYEKUWA kiungo wa Simba, Mzambia, Clatous Chama, amebainisha kwamba, yupo tayari kurudi katika kikosi hicho endapo atatakiwa kufanya hivyo.Chama aliyecheza Simba kwa misimu mitatu kuanzia 2018 hadi 2021, msimu huu amejiunga na RS Berkane ya Morocco.   Akiwa Simba, kiungo huyo alipata mafanikio makubwa ikiwemo kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20 na kiungo bora 2020/21. Simba msimu huu imeanza kwa kasi ya kawaida huku kati ya upungufu ambao umekuwa ukibainishwa ni kukosekana kwa Chama na Luis Miquissone ambao waliondoka mwishoni mwa msimu uliopita.   Akizungumzia uwezekano wa kurudi Simba, Chama…

Read More

KUMBE TATIZO LA AZAM FC LIPO HAPA

VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa tatizo kubwa ambalo linaitesa timu hiyo kwenye mechi zake za ligi ni kukosa umakini kwenye mechi ambazo wamecheza. Azam FC ilinyooshwa mabao 2-0 dhidi ya Yanga pia ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mechi za awali kabisa msimu wa 2021/22. Ilishinda bao…

Read More

SIMBA:MAGUMU TUNAYOPITIA YATAKWISHA

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa magumu ambayo wanayapitia kwa sasa yana muda kwa kuwa wanapambana kurudi kwenye ubora uliozoeleka. Ikiwa imecheza mechi tano imeshinda mechi tatu na kukusanya sare mbili ndani ya msimu wa 2021/22 na kinara wa utupiaji ni Meddie Kagere mwenye mabao mawili. Akizungumza na Spoti Xtra, Matola alisema kuwa…

Read More

REKODI ZA MAPROO YANGA NOMA

MAPROO wa Yanga wameweka rekodi yao matata kwa kuhusika kwenye mabao mengi ya timu hiyo jambo linalowaongezea mzigo wazawa kazi ya kufanya kwenye mechi ambazo watacheza kwa msimu wa 2021/22. Ikiwa imecheza mechi tano ambazo ni dakika 450, maproo hao wameonekana kufanya kazi kubwa kutimiza majukumu yao kuanzia kwenye safu ya ulinzi mpaka ushambuliaji jambo…

Read More

UNAI ATAJWA NEWCASTLE UNITED

UNAI Emery, Kocha Mkuu wa Villarreal amewaambia mabosi wa timu hiyo kwamba Klabu ya Newcastle United inaonekana kumuhitaji licha ya kwamba hawajapeleka ofa kwa wakati huu.   Kocha huyo inaelezwa kuwa atachukua nafasi ya aliyekuwa kocha wa Newcastle United, Steve Bruce ambaye alifungashiwa virago kwenye timu hiyo baada ya timu hiyo kupata wawekezaji wapya mwezi…

Read More

MSIMAMO WA LIGI KUU BARA BONGO

LIGI Kuu Tanzania Bara kwa sasa imezidi kuwa ya moto kutokana na kasi ya timu zote kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja. Mabingwa mara 27 Yanga bado ni namba moja wakiwa na pointi zao 15 wanafuatiwa na Simba wenye pointi 11 kibindoni na wote wamecheza mechi tanotano.

Read More

USIKU KABISA KAGERE AFUNGA BAO LA USHINDI KWA SIMBA

MEDDIE Kagere amepachika bao la ushindi mbele ya Namungo FC dakika 90+4 kwa pasi ya Mohamed Hussein.    Bao hilo lilikuwa ni la jasho kubwa kwa kuwa Namungo walikuwa wakipambana kusaka bao kama ambavyo ilikuwa kwa Simba ambao nao walikuwa wakifanya hivyo ila mikono ya kipa Jonathan Nahimana ilikuwa kwenye ubora katika kuoka hatari. Ni…

Read More

CAF YAMALIZA BIASHARA YA BIASHARA UNITED

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika, (CAF) limeiondoa timu ya Biashara United ya Tanzania katika mashindano ya Kombe la Shirikisho kwa kutofika uwanjani kwenye mechi dhidi ya Ahly Tripoli ya Libya. Taarifa iliyotolewa leo Novemba 3,2021 na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imeeleza kuwa CAF imefikia hatua hiyo kwa kueleza kuwa sababu zilizoifanya timu hiyo…

Read More

SIMBA YATAJA MAMBO YANAOITESA TIMU HIYO

KOCHA Mkuu wa Simba, Raia wa Rwanda, Thierry Hitimana amefunguka mambo matatu yanayosababishawashindwe kufanya vizuri tangu kuanza kwa msimu huu. Hitimana amefichua mambo hayo kufuatia Simba kucheza mechi nne katika Ligi Kuu Bara ambapo imefanikiwakushinda mechi mbili na kutoka sare mechi mbili huku ikiwa ya katika nafasi ya nne katika msimamo wa Ligikuu ikiwa pointi nane. “Tuna mambo matatu ambayo tunapitia lakini jambo la kwanza presha imekuwa kubwa ingawa ni kawaida katika soka lakini kwetu imekuwa kubwa kwa sababu…

Read More

MAYELE ATAJA IDADI YA MABAO ANAYOTAKA KUFUNGA

FISTON Mayele, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa hesabu zake kubwa ni kuona kwamba anaweza kufunga mabao kuanzia 20 jambo ambalo litaipa timu hiyo mafanikio. Kwa sasa mshambuliaji huyo ametupia mabao mawili kwenye ligi aliwafunga KMC na Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mayele amesema kuwa anafurahi kufunga na anatarajia kufunga mabao mengi zaidi…

Read More

SIMBA WAVAMIA VYUMBA VYA WACHEZAJI

MARA baada ya kipyenga cha mwisho cha kumaliza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union uliochezwa Jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, baadhi ya viongozi wa Simba walivamia vyumbani na kufanya kikao kizito na wachezaji wao. Mchezo huo ambao ulimalizika kwa suluhu, matokeo hayo hayakuwafurahisha mashabiki, wachezaji, wala viongozi hao, jambo lililolazimika kikao kizito kufanyika fasta.Hiyo ni suluhu ya pili kwa Simba msimu huu ndani ya Ligi Kuu…

Read More

RONALDO ANAKIWASHA TU HUKO

CRISTIANO Ronaldo nyota wa Manchester United mbele ya mashabiki 14,443 katika Uwanja wa Gewiss aliibuka kuwa mchezaji bora wa mchezo huo jambo linalomaanisha kwamba hana jambo dogo.   Kwenye sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Atalanta, Ronaldo alipachika mabao mawili dakika ya 45 na 90. Mabao ya Atalanta yalipachikwa na Josip Ilicic dakika ya…

Read More

ARGUERO ASHAURIWA KUKAA NJE MIEZI MITATU

MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Barcelona, Sergio Arguero  atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitatu ikiaminika kuwa ni kutokana na kusumbuliwa na tatizo la moyo.   Nyota huyo ambaye ameibuka ndani ya kikosi hicho kinachoshoshiriki La Liga akitokea Klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu England alipata tatizo hilo Oktoba 30 wakati timu hiyo…

Read More