
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
WAKIWA wanaelekea katika mxhezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting, tayari mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wamemtambulisha kocha mpya mwingine. Ni Don Daniel De Castro ambaye anakuwa kocha wa viungo akichukua nafasi ya Adel Zraine raia wa Tunisia ambaye alifutwa kazi Novemba 26 kutokana na timu hiyo kuboronga katika Ligi ya…
UONGOZI wa Yanga baada ya kutangaza kuwa utamkosa mshambuliaji wake Yacouba Songne kwa zaidi ya miezi minne kutokana na majeraha aliyoyapata, mchezaji huyo ni kama ameacha vita ya namba kwa washambuliaji Saido Ntibazonkiza na Heritier Makambo kwa ajili ya kuchuana kuchukua nafasi ya mshambuliaji huyo. Songne aliumia katika mchezo uliopita wa ligi kuu dhidi ya…
KLABU ya Norwich City imemteua Dean Smith kuwa kocha mpya wa kikosi hicho baada ya kumtimua Daniel Farke Novemba 7 mwaka huu. Smith amesaini kandarasi ya miaka miwili na nusu na atasaidiana na Craig Shakespeare kama kocha msaidizi. Smith ambae amefungashiwa virago kutoka Aston Villa, aliisaidia timu hiyo kupanda Ligi Kuu EPL, ndani ya msimu…
ALIYEKUWA Kocha wa Viungo wa Simba, Mtunisia, Adel Zrane, amefunguka kuwa anaamini kama Simba inahitaji kutetea ubingwa wake msimu huu, basi ni lazima wahakikishe wanavunja benki kwenye dirisha dogo la usajili na kuongeza angalau kiungo mchezeshaji mmoja mwenye uwezo mkubwa. Zrane, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes na aliyekuwa kocha wa makipa, Milton Nienov Oktoba 26, mwaka huu…
KOCHA Mkuu wa Polisi Tanzania, Malale Hamsini ameweka wazi kwamba malengo ya timu hiyo ni kufanya vizuri ndani ya Ligi Kuu Bara ili kuweza kuwa ndani ya tano bora kwa msimu wa Kocha huyo mwenye tuzo ya kocha bora wa mwezi Septemba baada ya kuanza ligi kwa mwendo wa kasi bado timu hiyo ambayo kipa…
VIGOGO wa Ligi Kuu Bara, Simba ambao ni mabingwa watetezi pamoja na Yanga ambao ni mabingwa wa kihistoria wakiwa na mataji 27 ya ligi wakiwa kwenye mechi zao kwa msimu wa 2021/22 kadi imekuwa ni jambo la kawaida. Hii inatokana na ugumu wa mechi hizo pamoja na wachezaji kutumia nguvu kubwa katika kusaka ushindi jambo…
SIMULIZI ya mwanamke aliyempambania mume wake Kila mwanamke hufurahia furaha katika ndoa yake kila wakati. Kwenye ndoa ama kwa hakika huandamana na vitu vingi kila mara. Mapenzi bila ya tendo la ndoa kwenye ndoa nyingi huleta wapenzi kukosana kila wakati. Kwa jina ni Patricia kutoka kwenye kaunti ya Nairobi. Tulikuwa kwenye ndoa na mume wangu…
KATIKA mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia wakiwa kundi A, Ureno walipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Serbia wakiwa na Cristiano Ronaldo ambaye alikuwa anapewa nafasi ya kufanya maajabu. Mabao ya Dusan Tadic dakika ya 33 na Aleksandar Mitrovic dakika ya 60 kwa Serbia yalitosha kutibua mipango ya Ureno iliyoanza mapema kabisa kupitia…
KWENYE ardhi ya Tanzania mbali na uzuri wa mlima Kilimanjaro pamoja na wakazi wake wenye sifa ya upole na ukarimu kuna kijana anakiwasha kwenye ulimwengu wa soka kwa kufanya kazi ya mpira ionekane kuwa nyepesi. Jina lake anaitwa Feisal Salum wengi wanapenda kumuita Fei Toto ni kijana anayewapa tabu kwa sasa makipa wa Bongo kwa…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu.
KUMEIBUKA taarifa kuwa Polisi Tanzania wapo kwenye mpango wa kuwasajili viungo wawili wa Azam FC, Mudathir Yahya na Salum Aboubakar ‘Sure Boy’ ambao wamesimamishwa. Taarifa hizo zinadai kuwa, Polisi Tanzania wanawataka nyota hao ili kuimarisha kikosi chao na kujiweka katika mazingira mazuri ya kuwania nafasi tatu za juu kwenye msimamo wa ligi mwisho wa msimu. Chanzo hicho kililiambia Spoti Xtra kuwa: “Upo mpango wa Azam FC kuachana na Mudathir pamoja na Sure…
TIMU ya taifa ya Tanzania leo Novemba 14 imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 mbele ya Madagascar kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia. Mchezo wa leo ulikuwa ni kuhitimisha ndani ya kundi J ambapo alikuwa anatafutwa mshindi kati ya Benin na DR Congo kuweza kutinga hatua ya mtoano na mwisho ni DR Congo…
SIMULIZI ya shamba ambalo lilikuwa kwenye mgogoro Jina langu ni Waithera kutoka katika kaunti ya Nairobi. Tulimiliki shamba katika mtaa wa kifahari wa Runda ambapo shamba hilo lilikuwa takriban ekari kumi. Mimi pamoja na mume wangu tulikuwa na hati miliki ya shamba lile na hata tulikuwa tumejenga nyumba za kokodi katika shamba hilo. Muda ulivyosonga,…
KOCHA Mkuu wa RS Berkane ya nchini Morocco, Florent Ibenge, amefunguka suala la kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Clatous Chama, kushindwa kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara ndani ya kikosi hicho huku akiweka wazi kuwa mchezaji huyo anahitaji muda zaidi wa kukaa sawa ndani ya timu hiyo. Chama alijiunga na RS Berkane mwanzo wa msimu huu akitokea Simba sambamba na winga wa zamaniwa Yanga, Tuisila…
KAMBI ya muda iliyowekwa na vinara wa Ligi Kuu Bara Yanga inatajwa kuwaimarisha mastaa wa timu hiyo jambo ambalo limemfurahisha kocha wa timu hiyo Nasreddine Nabi. Novemba 9, Yanga ilikuwa ndani ya Bahari ya Hindi na kuibukia Zanzibar ambapo ilikuwa na mechi mbili za kirafiki kwa ajili ya kujiimarisha kuelekea mechinza ligi na ilishinda zote…
DANI Alves beki matata mwenye mataji kibao ikiwa ni mafanikio yake makubwa kwa sasa amerejea tena ndani ya Barcelona baada ya kusepa hapo miaka mitano iliyopita ambapo aliibukia ndani ya Juventus na ikigota Januari anaanza kuvaa uzi wa Barcelona. Ni makubaliano ya kikanuni ambayo Barcelona wamefikia kwa kuamua kumpa dili beki huyo wa makombe…