
YANGA: HAIKUWA RAHISI KUVUNA POINTI TATU ZA KAGERA
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa haikuwa rahisi kuvuna pointi tatu muhimu mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa kwanza ndani ya msimu wa 2024/25. Ipo wazi kwamba mchezo wao wa msimu wa 2023/24 walipocheza Kaitaba baada ya dakika 90 ubao ulisoma Kager Sugar 0-0 Yanga hivyo mabingwa hao watetezi waligawana pointi mojamoja na Kagera…