
AZAM FC MATAJIRI WA DAR KIMATAIFA MWENDO WAMEUMALIZA
MATAJIRI wa Dar, Azam FC kwenye anga la kimataifa mwendo wameuliza kwa kufungashiwa virago na APR ya Rwanda katika hatua a awali Ligi ya Mabingwa Afrika. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Dar Azam FC inyonolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo ilipata ushindi wa bao 1-0 hivyo ilikuwa na…