BABA YAKE NYOTA WA BARCELONA LAMINE YAMAL ACHOMWA KISU

Baba wa nyota wa soka wa Uhispania Lamine Yamal mwenye umri wa miaka 17 ameripotiwa kuchomwa kisu mara kadhaa kwenye eneo moja la maegesho ya magari. Kulingana na ripoti katika vyombo vya habari vya Uhispania, Mounir Nasraoui alishambuliwa katika mji wa pwani wa Mataró, kaskazini mwa Barcelona, ​​Jumatano usiku na kundi la watu aliozungumza nao…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE SIO KINYONGE

UONGOZI wa Singida Fountain Gate umeweka wazi kuwa kwa msimu wa 2024/25 wataanza kazi kwa nguvu na sio kinyonge kwenye mechi tano za mwanzo ndani ya Ligi Kuu Bara. Ipo wazi kwamba msimu wa 2023/24 haukuwa bora kwa timu hiyo iliyogotea nafasi ya 11 baada ya mechi 30 ilikomba pointi 33 ilishinda mechi 8 iliambulia…

Read More

PAZIA LA LIGI KUU BARA LINAFUNGULIWA

BAADA ya maandalizi ya msimu wa 2024/25 kukamilika kwa timu zote ndani ya Bongo sasa pazia la Ligi Kuu Bara linakwenda kufunguliwa ikianza mzunguko wa kwanza ndani ya ligi. Ipo wazi kwamba mabingwa watetezi wa ligi ni Yanga ilitwaa taj hilo likiwa ni la 30. Baada ya kucheza mechi 30 ni pointi 80 zilikuwa kibindoni…

Read More

GAMONDI AWAPA TANO MASTAA WAKE

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amewapa tano mastaa wake ikiwa ni pamoja na Clement Mzize, Duke Abuya, Dickson Job kwa kushirikiana kuanza na taji la Ngao ya Jamii kwenye fainali iliyochezwa Uwanja wa Mkapa dhidi ya Azam FC. Katika mchezo huo uliochezwa Agosti 11 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga 4-1 Azam FC…

Read More

AWESU AWESU WA SIMBA ATAMBULISHWA KMC

NYOTA Awesu Awesu rasta aliyetambulishwa kuwa kwenye changamoto mpya msimu wa 2024/25 ndani ya kikosi cha Simba kinachoolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids.. Alitambulishwa kuwa mali ya Simba Julai 17 akitokea KMC, alijiunga na timu kambini Misri Julai 17 alicheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki Simba Day,Agosti 3 na ametambulishwa kwa mara nyingine kurejea KMC,Agosti…

Read More

MAMILIONI YA SHAOLIN CREW KASINO YANAKUSUBIRI

Kutana na mchezo wa kasino wenye sifa za Shaolin Soccer, lakini huu sasa hauna jambo dogo, kazi yake ni kutoa washindi kwa kila unapoucheza. Jisajili na Meridianbet kujiweka karibu Zaidi na utajiri. Shaolin Crew ni mchezo wa sloti mpya ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse Studios. Mchezo huu una unajulikana kwa bonasi za kasino kubwa. …

Read More

MWAMBA KUTOKA MWANZA MWANZA AMEACHIA ZAWADI HII

LEGEND kwenye muziki Bongo Fareed Kubanda ambaye ni mzawa kutoka Mwanza ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Simba. Kazi hiyo ameiachia muda mfupi ikiwa ni kumbukizi yake ya kuletwa duniani Agosti 13 ambapo kwenye nyimbo yake ya Agosti 13 akiwa na Salam Jay na Juma Nature alibainisha kuwa alizaliwa katika Hospital ya Bugando, Mwanza….

Read More

KITAWAKA LEO MECHI ZA KUFUZU KWA UEFA TIMU KIBAO

Mechi mbalimbali za kufuzu kwa UEFA timu kibao leo hii zitapigwa ambapo mechi kibao zenye ODDS KUBWA zipo hapa. Ingia Meridianbet na usuke jamvi lako la maana sasa na uibuke mshindi. Pesa ipo mechi hii ya Union St. Gilloise ambaye atakuwa uso kwa uso dhidi ya Slavia Prague ya Czech Republic ambao mechi ya kwanza…

Read More

SIMBA KUSHUSHA MSHAMBULIAJI WA KAZI

UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba upo kwenye mpango wa kukamilisha usajili wa mshambuliaji ili kuongeza nguvu katika kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ipo wazi kwamba Simba ni namba tatu kwenye Ngao ya Jamii 2024/25 imeshuhudia safu ya ushambuliaji ikifunga bao moja pekee na mtupiaji ni kiungo Saleh Karabaki ilikuwa dakika ya 10…

Read More

Cheza Expanse Ushinde Mamilioni

Meridianbet wanakwambia ukicheza Expanse Kasino unajiweka sehemu nzuri ya kujishindia maokoto ya kutosha. Jisajili hapa kuwa sehemu nzuri Zaidi ya ushindi.   Kupitia shindano la michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse, unaweza kujishindia hadi Tsh 4,750,000/= ikiwemo bonasi za kasino kibao. Kuna michezo mingi ya kasino na Sloti ambayo inaweza kukufanya kuwa Milionea.  …

Read More