HAPA HAALAND PALE RASHFORD MOTO UTAWAKA

Leo kitapigwa kipute kikali kati ya Manchester City dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ngao ya hisani, Mchezo huu ndo utafungua njia ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza 2024/25.   Manchester City leo watashuka dimbani wakiwa wanapewa nafasi zaidi ya kushinda mchezo wa leo kutokana na ubora wa kikosi chao,…

Read More

AJALI YA NDEGE YAUWA WATU 61 BRAZIL

Ndege chapa ATR 72-500 inayomilikiwa na kampuni ya Voepass ilianguka jioni ya jana katika mji wa Vinhedo, wakati ikitokea jimbo la kusini la Parana kuelekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sao Paulo. Juhudi za kuipata na kuitambua miili zilikuwa zinaendelea hadi alfajiri ya leo. Mamlaka ya ajali za anga ya Brazil, CENIPA, imetangaza kuanza…

Read More

Maya’s Treasure Kasino| Inalipa Kirahisi

Bilas haka umewahi kuisikia hadithi ya Eldorado. Hadithi ambayo inatoka kwa Wahindi wa Amerika Kusini inasema kwamba Eldorado ni mkoa ambao una utajiri mwingi. Jisajili na Meridianbet kwa ushindi mkubwa.   Meridianbet na Expanse wanakuletea mchezo mwingine wa kasino ya mtandaoni wa Maya’s Treasure. Unaelezea mtaalam wa akiolojia mchanga wa Kiingereza, mwenye akili na wa…

Read More

YANGA HII UNAIFUNGAJE?

YANGA hii unaifungaje? Mashabiki wametuma tambo kimtindo kwa watani zao wa jadi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali Ngao ya Jamii, Uwanja wa Mkapa. Ngoma imemalizwa dakika 44 za kipindi cha kwanza baada ya Simba kufanya makosa kwenye kuokoa mpira ambao ulionekana hauna madhara kwenye miguu…

Read More

MATAJIRI AZAM HAO FAINALI NGAO YA JAMII

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wametinga hatua ya fainali Ngao ya Jamii kwa ushindi wa mabao 5-2 Coastal Union katika hatua ya nusu fainali. Ni Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar nusu fainali ya kwanza imechezwa anasubiriwa mshindi wa nusu fainali ya pili kati ya Yanga na Simba, Uwanja wa Mkapa Sillah alipachika bao dakika…

Read More

AZAM FC NA COASTAL UNION ZAPIGANA MKWARA

KUELEKEA kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya matajiri wa Dar, Azam FC dhidi ya Wagosi wa Kaya, kutoka Tanga, Coastal Union maofisa habari wa timu zote mbili wamepigana mikwarakwa kubainisha kuwa wote wanahitaji ushindi. Kwenye mchezo wa leo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar mshindi atakutana na Yanga…

Read More

Vibe la Aviator! Mamilioni Yakungonja Kasino

Kuwa rubani wa maisha yako kwa kurusha ndege ya Aviator, iliyopo Meridianbet, huu ni mchezo wa kasino ya mtandaoni ambao unapendwa na watu wengi.   Unachotakiwa kukifanya ni kuanza safari yako kwa kurusha ndege umbali mrefu Zaidi, huku ukiwa makini kabla haijaanguka chini unatakiwa uwe umekatisha safari yako na kuvuna pointi zako. Jisajili na Meridianbet…

Read More

GAMONDI ATUMA UJUMBE MZITO SIMBA

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii hatua ya nusu fainali kati ya Simba dhidi ya Yanga, Miguel Gamondi ametuma ujumbe mzito kwa wapinzani wake akibainisha kwamba hawana hofu kuwakabili wapinzani hao uwanjani. Ipo wazi kuwa Agosti 8 2024 inatarajiwa kuchezwa Kariakoo Dabi katika Ngao ya Jamii ikiwa ni hatua ya nusu fainali, fainali inatarajiwa…

Read More

MASHABIKI NANE WA SOKA KWENDA DUBAI KUPITIA PROMOSHENI YA PARIMATCH NA AIRTEL

JUMLA ya mashabiki nane wa soka watapata fursa ya kutembelea nchini Dubai endapo watashinda tiketi kupitia promosheni ya Dubai Kumenoga ilitoziduliwa na Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch kwa kushirikiana na Airtel Tanzania  kupitia huduma za Airtel Money. Promosheni hiyo ni muendelezo wa kampeni kubwa iliyomalizika ya Zigo la Euro 2024 nchini Ujerumani ambapo mashabiki…

Read More