
KARIAKOO DABI INAFUKUTA HUKO NA MZIZIMA DABI
MSIMU wa 2024/25 ushindani wake unatarajiwa kuwa mkubwa kutokana na kila timu kujipanga kupata matokeo chanya kwenye mechi za ushindani ambapo kwa sasa ligi imesimama kwa muda kutokana na ratiba ya FIFA. Wakati yote yakiendelea kuna fukuto ambalo lipo ikiwa ni kuelekea mechi kubwa Kariakoo Dabi na Mzizima Dabi ambazo zinatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa…