
FOUNTAIN GATE HAWATAKI UTANI HESABU NDEFU
UONGOZI wa Fountain Gate umeweka wazi kuwa mpango mkubwa ni kupata pointi tatu kwenye mechi zao zote ambazo watacheza kutokana na kuwa na kikosi bora. Mechi mbili mfululizo Fountain Gate imekomba pointi tatu ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya Namungo ugenini na mchezo dhidi ya Ken Gold wakiwa nyumbani. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Majaliwa ilikuwa…