KISA INONGA, BENCHIKHA AWACHENJIA MABOSI SIMBA
BENCHI la Ufundi la Simba, ambalo lipo chini ya Kocha Mkuu Mualgeria, Abdelhak Benchikha limezuia mauzo ya beki wao kati Mkongomani, Hennock Inonga. Mkongomani huyo ni kati ya wachezaji wanaounda kikosi cha DR Congo, ambacho kimefuzu hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) huko nchini Ivory Coast baada ya kuwaondoa Misri katika…