SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI ZA TABORA UNITED
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kupata pointi tatu kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Tabora United. Februari 6 Simba ina kibarua cha kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Tabora United unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Tayari viingilio kwenye mchezo huo vimewekwa wazi ikiwa ni 5,000…