NYOTA WA YANGA BADO MAJANGA
BADO hajawa fiti winga Agustino Okra Magic aliyewahi kucheza ndani ya Simba kabla ya kuibukia ndani ya kikosi cha Yanga msimu wa 2023/24. Ipo wazi kwamba Okra alipata maumivu kwenye mchezo wake wa kwanza kuvaa uzi wa Yanga katika mechi za ushindani ilikuwa Mapinduzi 2024, Zanzibar. Hakuwa sehemu ya kikosi kilichocheza mchezo wa kwanza ndani…