MECHI ZA FA NA COPA DEL REY KUKUPA MKWANJA

Mechi mbalimbali zinaendelea na tayari ODDS KUBWA zipo tayari kwenye app ya meridianbet hivyo ingia sasa na uanze kusuka mkeka wako wa maana hapa, Unachotakiwa kufanya ni kuweka dau lako na kuanza kutengeneza pesa sasa.

Raundi ya 4 kombe la FA Uingereza kuendelea hii leo  Southampton dhidi ya Watford FC ambapo timu hizi zote zinatokea ligi daraja la kwanza, yani Champioship huku meridianbet wakimpa Soton nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.54 kwa 5.09. Mechi hii itapigwa katika dimba la St Mary’s. Bashiri sasa.

Mechi nyingine ya kukupatia maokoto ni hii ambayo inayowakutanisha Plymouth Argyle dhidi ya Leeds United huku mechi ya kwanza walipokutana walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Leeds kushinda amepewa ODDS 1.60 kwa 4.60 kwa mwenyeji. Kwenye Championship mwenyeji yupo nafasi ya 15 na mgeni yupo nafasi ya 3. Nani kuibuka kidedea leo?. Beti hapa sasa.

Vilevile, meridianbet wanakusisitiza kucheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman na mingine kibao ya Sloti ambayo inatolewa hapa. Ingia na ucheze sasa.

Nao Coventry City watakiwasha dhidi ya Sheffield Wednesday ambao wamepewa ODDS 5.48 kwa 1.52 kushinda mechi hii. Mechi ya kwanza walitoa sare huku timu zote zikitoka kuchapika kwenye mechi zao za ligi zilizopita. Je leo hii nani atasonga mbele. Jisajili sasa.

Pia Copa del Rey hatua ya nusu fainali leo hii kutakuwa na mchezo mmoja tuu ambao utawakutanisha kati ya Mallorca dhidi ya Real Sociedad ambapo mechi ya mwisho kuonana, Sociedad alishinda. Kwenye Laliga mwenyeji yupo nafasi ya 17 na mgeni wake yupo nafasi ya 6. Je nani kuondoka na ushindi leo?. Mechi hii imepewa ODDS 3.22 kwa 2.55. Ingia meridianbet na ubashiri hapa.