FT: TANZANIA PRISONS 1-2 YANGA
FT Tanzania Prisons 1-2 Yanga Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Goal kwa Prisons ni Jeremia Juma na Yanga. Mzize na Pacome. Kikosi cha Tanzania Prisons kinasaka pointi tatu mbele ya Yanga ambao nao wanazihitaji pointi hizo pia. Tanzania Prisons wamepata bao kipindi cha pili dakika ya 64 kupitia kwa Jeremia Juma kwa pigo la faulo iliyosababishwa…