SIASA YAMPONZA NYOTA WA BAFANA BAFANA MOKOENA, AKATALIWA AL AHLY
Klabu ya Al Ahly ya Misri imeahirisha mpango wake wa kumpa nafasi ya majaribio nyota wa Bafana Bafana, Tenoho Mokoena. Katika taarifa yao ya leo, Al Ahly wamesema wamefikia uamuzi huo kutokana na misimamo ya kisiasa ya mchezaji huyo. Hivi karibuni wakati Bafana Bafana wakirejea nyumbani kutoka Ivory Coast kwenye AFCON ambako walimaliza katika nafasi…