KIJANA ASHINDA JACPOT YA BILIONI KUTOKA SPORTPESA
KAMPUNI ya Michezo na Burudani SportPesa imemtangaza mshindi wa Jackpot ya shilingi 265,780,681 TZS David Mwenge Nyantora (27). David ambaye ni mwajiriwa alibashiri kwa usahihi mechi 13 kati ya 13 kwenye mechi za Supa Jackpot ambayo inamgawanyiko wa Jackpot za mechi 17,16,15,14 na 13 iliyopata mshindi. Akimtangaza mshindi huyo wa awamu ya kumi Mwenyekiti wa…