Home Sports CLATOUS CHAMA MAKALI YAKE YALIIBUKA JIONI KWELI

CLATOUS CHAMA MAKALI YAKE YALIIBUKA JIONI KWELI

MZIZIMA Dabi imeacha mengi ambapo Simba ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na matajiri wa Dar ambao walianza kufunga dakika ya 14 kupitia kwa Prince Dube ambaye amekuwa na zali la kuwatungua Simba.Chama alionyesha ubora wake mwishoni alipofunga bao kwa pigo huru.

Previous articleBETI YAKO UNAIWEKA WAPI LEO KATI YA NIGERIA DHIDI YA IVORY COAST?
Next articleIVORY COAST NA MAAJABU YAO AFCON