Home Sports ISHU YA KAYOKO NA LAWAMA ZA SIMBA IPO HIVI

ISHU YA KAYOKO NA LAWAMA ZA SIMBA IPO HIVI

AMEANDIKA Jembe

Moja ya sifa ya mashabiki wa Simba ni utaratibu au upole… Lakini pia wana sifa ya ukorofi wanapochoka.

Hili la kumkataa mwamuzi Kayoko si zuri katika mchezo wetu wa soka. Lakini tujiulize ni kwanini linatokea na kweli mwamuzi huyo amekuwa akikosea sana mechi zinazoihusu timu hiyo?

Kayoko mwenyewe pia anaweza kujitafakari kwamba amekuwa akipokea malalamiko mengi sana kuhusiana na yeye na Simba. Kweli ana makosa mengi dhidi ya Simba?

Then kuanzia hapo tunaweza kuwa na mjadala mzuri kuhusiana na Kayoko dhidi ya Simba…

Ikumbukwe kwamba Februari 9 2024 ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ulisoma Simba 1-1 Azam FC mchezo wa Ligi Kuu Bara uliokuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili.

Previous articleAMEWEKA REKODI HII MWAMBA WA YANGA
Next articleMWAMBA WA LUSAKA CHAMA NA TAMKO HILI HAPA