KIUNGO HUYU YANGA ANA BALAA UWANJANI
KHALID Aucho kiungo wa Yanga anabalaa akiwa uwanjani kwa kutembeza mikato ya kimyakimya jambo ambalo wakati mwingine limekuwa tatizo kwa wachezaji wa timu pinzani ni muhimu akaongeza umakini licha ya kuwa ni namba sita