SIMBA NDANI YA IVORY COAST KUIWINDA ASEC MIMOSAS
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unatambua mchezo wao ujao dhidi ya ASEC Mimosas utakuwa na ushindani mkubwa lakini wapo tayari kupata ushindi. Alfajiri ya Jumanne kikosi cha Simba kilianza safari kutoka Tanzania kuelekea Ivory Coast kikiwa na jumla ya wachezaji 22 pamoja na benchi la ufundi. Ni Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha yupo na kikosi…