YANGA NDANI YA MORO KUIKABILI KMC
VINARA wa Ligi Kuu Bara Yanga wapo ndani ya Morogoro ambapo waliwasili mapema Februari 15 kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao ujao wa ligi. Ni pointi 40 wanazo kwenye msimamo baada ya kucheza mechi 15 mchezo wao wa kukamilisha mzunguko wa kwanza ilikuwa Uwanja wa Sokoine ubao uliposoma Prisons 1-2 Yanga wakakomba pointi tatu…