SIMBA YATUMA UJUMBE HUU KWA WAJEDA JKT TANZANIA
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ipo wazi kwamba mchezo uliopita Simba ilikuwa ugenini ilivuna pointi tatu dhidi ya Geita Gold kwa bao la Babacarr Sarr dakika ya 81 kwenye mchezo huo akitumia pasi…