KIUNGO WAKAZI AMESHUSHA PRESHA SIMBA
KIUNGO wa kazi amerejea ndani ya Simba na kushusha presha kwenye eneo hilo ambalo analifanyia kazi. Ni Fabrince Ngoma chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha yupo na kikosi kamili kwa ajili ya kuendelea na majukumu yake