AMETEMBEZA MKWARA HUU MRITHI WA DIARRA
KIPA wa Yanga, Aboutwalib Mshery mrithi wa mikoba ya Djigui Diarra ndani ya Yanga ameweka wazi kuwa malengo makubwa yaliyopo ni kupata ushindi kwenye mechi ambazo wanacheza
KIPA wa Yanga, Aboutwalib Mshery mrithi wa mikoba ya Djigui Diarra ndani ya Yanga ameweka wazi kuwa malengo makubwa yaliyopo ni kupata ushindi kwenye mechi ambazo wanacheza
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kupata pointi tatu kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Tabora United. Februari 6 Simba ina kibarua cha kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Tabora United unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Tayari viingilio kwenye mchezo huo vimewekwa wazi ikiwa ni 5,000…
GAMONDI aisuka pacha ya staraika mpya Yanga, Benchikha atangaza pointi 15 za ubingwa Simba ndani ya Championi Jumatatu
MIAMBA hii imekabidhiwa mechi ya Simba wakiwa wapo ndani ya kikosi cha Azam FC kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa CCM Kirumba ikiwa ni Mzizima Dabi
Fainali za Kombe la Dunia la mwaka 2026 zitafanyika kwenye Uwanja wa MetLife, katika jimbo la New Jersey, Marekani, waandaaji wa michuano hiyo, FIFA, walitangaza Jumapili. New York na New Jersey kwa pamoja ziling’ang’ania nafasi hiyo, huku zikikabiliwa na ushindani mkali kutoka kwa Texas, ili kuwa wenyeji wa mchuano utakaofanyika tarehe 19, mwezi, kama kilele…
Majogoo wamedhalilika ugenini dhidi ya Washika Mitutu kufuatia kipigo cha 3-1 katika dimba la Emirates. FT: Arsenal 3-1 Liverpool 14’— Saka ⚽ 67’— Martinelli ⚽ 45+3’— Magalhães (og) ⚽ 88’ Konate ? 90+2’ — Trossard ⚽ Arsenal imesogea mpaka alama mbili nyuma ya kinara Liverpool kwenye msimamo wa Ligi Kuu England alama 49 baada ya…
Zamani kulikuwa na utaratibu na utamaduni wa kusimuliana hadithi, mababu na bibi zetu walikuwa ndiyo vinara wa kutoa stori za kale zenye kufurahisha na kufunza pia, lakini miaka ya hivi karibuni mambo hayo hakuna, lakini kuna mitandao ya kijamii watu wengi wanapata stori na hadithi huko. Kuna hadithi nyingi za kale nzuri kama Sungura na…
BAADA ya kuambulia sare mchezo wao wa kwanza ndani ya Februari 2 2024 mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga kesho wanashuka kwa mara nyingine tena uwanjani. Kesho Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Dodoma Jiji mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Yanga ilikomba pointi moja ugenini Uwanja wa Kaitaba…
MABINGWA watetezi Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), JKT Queens wamekumbana na rungu la faini ya milioni 3 pamoja kupokwa pointi tano kutokana na kitendo cha kushindwa kutokea kwenye Uwanja wa Azam Complex, kuvaana na Simba katika mfululizo wa mechi za ligi hiyo. Mechi hiyo hiyo ilikuwa ipigwe Januari 9, mwaka lakini JKT haikwenda Chamazi, kwa…
LICHA ya kuanza kutangulia kufunga bado hawajatusua kutinga hatua ya nusu fainali hivyo Mali kwa 2023 kutwaa taji hilo ndo basi tena mpaka wakati ujao. Mali ilipoteza kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya timu ya taifa ya Ivory Coast ambayo imetinga hatua ya nusu fainali Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2023) baada ya…
Ndugu mteja kama jana yako ilikuwa mbaya na hukuweza kuchukua mpunga ndani ya meridianbet, basi mimi nakwambia leo hii ndiyo siku nzuri kwa wewe kujinyakulia mkwanja kwa kubeti mechi zako za uhakika. Pale EPL katika dimba la Vitallity AFC Bournemouth watakiwasha dhidi ya Nottingham Forest . Mechi ya kwanza kukutana, mwenyeji aliondoka na pointi 3,…
WAKIWA na kikosi cha kazi kilichotoka kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Tembo FC, wameshuhudia ubao ukisoma Mashujaa 0-1 Simba. Bao pekee la ushindi kwa Simba limefungwa na Said Ntibanzokiza ambaye alipachika bao hilo kwa mkwaju wa penalti. Kwenye mchezo wa leo washambuliaji wa Simba walikosa umakini kwenye mchezo wa leo kufanya mashambulizi ndani…
Ndugu mteja usikubali kupitw ana ODDS za kijanja zinazotolewa hapa meridianbet sasa weka mkeka wako sasa na uchague machaguo uyapendayo uwe na nafasi ya kukusanya maokoto ya maana. LALIGA kutakuwa na mechi kibao hii kuanzia kwa mwenyeji Valencia ambaye yupo nafasi ya 8 atakipiga dhidi ya UD Almeria ambaye yupo nafasi ya 20 katika msimamo…
UONGOZI wa Cosmopolitan umebainisha kuwa mpango mkubwa ni kupata pointi tatu muhimu kwenye mchezo wa Championship dhidi ya wapinzani wao Pan Africans wakiwa ugenini. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa leo Februari 3 Uwanja wa Mabatini, Pwani kwa wababe hawa wawili kusaka pointi nani ya dakika 90. Ikumbukwe kwamba Ofisa Habari wa Cosmopolitan, Leen Essau aliibuka ndani…
NI msako wa bingwa mpya wa Azam Sports Federation unaendelea ambapo katika raundi ya pili wababe walikuwa kazini kila timu kusaka ushindi. Kagera Sugar waliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Dar City ambao wameumaliza mwendo. Katika ardhi ya Dar vigogo wawili walikuwa kazini wakiandika rekodi namna hii:- Hat trick hii hapa Mwamba Clement…
AMEONGEZEWA dozi mwamba wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga huko
NDANI ya Februari kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha kina kazi kubwa ya kusaka pointi tatu ambazo wapinzani wao wanazihitaji pia. Kigongo cha kwanza kinatarajiwa kuwa leo Februari 3 ugenini mwisho wa reli Kigoma kwa kupambana dhidi ya wenyeji wao Mashujaa Uwanja wa Lake Tanganyika. Katika mchezo wa leo Simba imemuongeza kiungo…