KAGERA SUGAR KUMBE WALINYIMWA BAO
MCHEZO wa kwanza wa Ligi Kuu Bara kwa Februari 2 2023 ilikuwa Uwanja wa Kaitaba baada ya dakika 90 ubao ulisoma Kagera Sugar 0-0 Yanga. Mchambuzi wa masuala ya michezo akiegemea zaidi kwenye mifumo Sisintinho Martin amebainisha kuhusu mbinu na namna ambavyo Kagera Sugar walifunga bao ambalo mwamuzi alibainisha kuwa ilikuwa ni mtego wa kuotea….