Home Sports KMC 0-3 YANGA, JAMHURI, MOROGORO

KMC 0-3 YANGA, JAMHURI, MOROGORO

FT: Uwanja wa Jamhuri, Morogoro

KMC 0-3 Yanga

Goal Pacome dakika ya 60

Goal Muadthir Yahya dakika ya kwanza, 53

Bao la mapema zaidi kwa Yanga ndani ya Ligi Kuu Bara limefungwa mzunguko wa pili na Mudathir Yahya Uwanja wa CCM Kirumba dakika ya kwanza.

Ikumbukwe kwamba bao la kwanza kwenye mzunguko wa kwanza lilifungwa na Dickson Job dakika ya 19 Uwanja wa Azam Complex dhidi ya KMC.

Kwenye mchezo wa leo Februari 17 ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba wakati ukisoma KMC 0-1 Yanga ni makosa ya safu ya ulinzi kwenye kupeana pasi yaliwaponza na Yanga wakatumia makosa hayo kufunga.

Ni Mudathir Yahya anakuwa nyota wa kwanza kuwainua mashabiki wa Yanga wakiwa ugenini ndani ya Morogoro, Mji kasoro bahari.

Previous articleKUWA MILIONEA NI RAHISI UKIBASHIRI HAPA, SERIE A, EPL KITAWAKA LEO
Next articleTAWASIFU YA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD NGOYAI LOWASSA