Home Sports Bashiri na Meridianbet Mechi za Leo

Bashiri na Meridianbet Mechi za Leo

Ijumaa ya leo mechi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule Laliga, Bundesliga, Ligue 1 na nyingine nyingi. Huu ndio muda wa wewe kujipigia mkwanja sasa tengenzeza jamvi lako na upige pesa hapa.

Kivumbi kitakuwa pale BUNDSLIGA kwenye mechi hii inayowakutanisha FC Cologne dhidi ya Werder Bremen. Timu hizi zimepishana pointi 10 pekee huku ushindi akipewa mwenyeji ndani za meridianbet kwa ODDS 2.50 huku mgeni akipewa ODDS 2.79. Ingia meridianbet na ubeti sasa.

Pia LALIGA ipo mechi moja pekee ambayo ni Villarreal dhidi ya Getafe.  Katika mechi 10 ambazo zimekutana timu hizi, Getafe hajawahi kushinda hata mechi moja toka amwaka 2019.  Na meridianbet leo hii wamempa mwenyeji nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.11 kwa 3.43. Je nani kuondoka na pointi 3?. Tengeneza jamvi sasa.

Kule Italia SERIE A kitawaka kwa michezo mwili katika viwanja mbalimbali. Torino baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita atakuwa nyumbani pale kuzichapa dhidi za Lecce ambaye alipokea dozi nzito mchezo wake uliopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 9, huku mgeni akihitaji kulipa kisasi baada ya kupigwa mechi ya kwanza walipokutana. Mechi hii imepewa ODDS 1.76 kwa 4.90. Jisajili na ucheze.

Vile vile Meridianbet inakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Vijana wa Simon Inzaghi Inter Milano watakuwa mzigoni pale Giusseppe Meazza kusaka pointi tatu za kuendelea kujikita kileleni dhidi ya Salernitana ambaye ndiye kibonde wa ligi hiyo. Inzaghi na vijana wake wamepewa ODDS 1.16 kwa 4.90. Je Inter kuendeleza moto wake?. Suka mkeka wako na ubeti hapa.

Ligi ya Ufaransa LIGUE 1 pia kutakuwa na mchezo mmoja wa Lyon dhidi ya Nice ambaye yupo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi baada ya kuwa na mwendelezo mzuri huku mwenyeji wake akiwa nafasi ya 13. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 2.69 kwa 2.74. Mechi ya mwisho kuonana walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuibuka kidedea?. Bashiri sasa.

Previous articleMAAJABU YA SLOTI HII YA KASINO YA MTANDAONI| GIANT WILD GOOSE PAGODA
Next articleHII HAPA SABABU YA MECHI YA SIMBA NA MTIBWA SUGAR KUYEYUKA