KIKOSI CHA WACHEZAJI 23 KITAKACHOINGIA KAMBINI DESEMBA 6
KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ameteua wachezaji 23 ambao wataingia kambini Desemba 6, kesho kwa ajili ya kufanya maandalizi kwa mchezo wa kirafiki. Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya kusherehekea miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika na itakuwa dhidi ya Uganda. Metacha Mnata Haroun Mandanda Musa Mbisa Nathaniel Chilambo…