KOEMAN APEWA MKONO WA KWAHERI BARCELONA

RONALD Koeman amefutwa kazi jumlajumla ndani ya kikosi cha Barcelona kinachoshiriki La Liga nchini Hispania ikiwa ni baada ya miezi 14 kutumia katika kutimiza majukumu yake ndani ya timu hiyo huku jina la Roberto Martinez likitajwa kurithi mikoba yake. Kwa msimu wa 2021/22 ndani ya La Liga, Koeman alikiongoza kikosi chake kushinda mechi 10 na…

Read More

GUARDIOLA ABAINISHA VINICIUS HAKABIKI

PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amebainisha kwamba sio rahisi kumdhibiti Vinicius Jr ila iliwezekana kupitia kwa Fernandinho. Manchester City ilipata ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Real Madrid kwenye mchezo wa hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyochezwa Uwanja wa Etihad. Wao City walikuwa ni wenyeji na waliibuka na ushindi…

Read More

SIMBA YAPANIA KUWAFUNGA RS BERKANE KWA MKAPA

BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Simba SC, amesema wapinzani wao RS Berkane kwenye mchezo unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Jumapili hii, hawatatoka salama. Simba inatarajiwa kumenyana na RS Berkane ya Morocco kwenye mchezo wa nne wa Kundi D, wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo uliopita ugenini kwa kufungwa mabao 2-0. Barbara amebainisha kuwa, kwa maandalizi…

Read More

PACOME AITWA NA MABOSI YANGA SC

NYOTA wa Yanga SC Pacome Zouzoua inaelezwa kuwa ameitwa na mabosi wa timu hiyo ili kujadili kuhusu kuongeza mkataba kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi. Pacome ni chaguo la kwanza la Hamdi ambapo kwenye msimu wa 2024/25 kacheza jumla ya mechi 23 Pacome kahusika kwenye mabao 18 akiwa kafunga…

Read More

AZAM FC WASHINDI WA TATU NGAO YA JAMII

AZAM FC chini ya Kocha Mkuu, Yusuph Dabo ni washindi wa tatu Ngao ya Jamii baada ya kuwashinda Singida Fountain Gate. Ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga umesoma Azam FC 2-0 Singida Fountain Gate. Mabao ya Prince Dube na Sopu yametosha kuimaliza Singida Fountain Gate. Huu ni mchezo wa kwanza kwa Dabo kushuhudia timu hiyo…

Read More

YANGA YAIPIGIA HESABU NDEFU REAL BAMAKO

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa unahitaji kuvunja rekodi ya mabao waliyowafunga TP Mazembe kwenye mchezo wa kimataifa. Timu hiyo ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi Machi 8 in kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Real Bamako ambapo mchezo wao uliopita waligawana pointi mojamoja nchini Mali. Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema…

Read More

MASTAA YANGA WAPEWA ONYO NA NABI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameweka wazi kuwa hataki kuona nyota wake wakifanya makosa ya kupoteza nafasi yao ya kushinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu na kuwataka kuhakikisha wanacheza kila mchezo ulio mbele yao kama fainali. Yanga ambao ni vinara wa msimamo wa Ligi Kuu Bara, hawakuwa na matokeo mazuri katika mashindano…

Read More

YANGA HAWANA BAHATI NA SOPU ANAWATUNGUA TU

ABDUL Suleiman, ‘Sopu’ nyota wa Azam FC nyota yake huwa inawaka anapopata nafasi ya kucheza dhidi ya Yanga. Nyota huyo amefanikiwa kuifunga Yanga mabao matano huku yote akimtungua kipa mmoja Diarra Djigui. Sopu alianza kufanya hivyo kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho ambao ulikuwa ni wa fainali akiwa ni mchezaji wa kwanza kufunga hat trick…

Read More

YANGA NA KIMATAIFA HESABU ZIPO HIVI

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wameanza kupiga hesabu kimataifa kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Al Hilal ya Sudan unaotarajiwa kuchezwa Novemba 26 2024. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Sead Ramovic tayari wameanza maandalizi kuelekea mchezo huo wa hatua ya makundi ndani ya msimu wa 2024/25. Bakari…

Read More

SIMBA MBELE YA RAJA CASABLANCA WAMETUNGULIWA NJE NDANI

KWENYE hatua ya makundi dhidi ya Raja Casablanca Klabu ya Simba imepigwa nje ndani ndani ya dakika 180. Mchezo ule uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Simba 0-3 Raja Casablanca na kuwafanya wapoteza pointi tatu mazima. Kwenye mchezo wa pili uliochezwa ugenini ubao ulisoma Raja Casablanca 3-1 Simba. Bao pekee la Simba limefungwa na Jean…

Read More

BABA MZAZI WA MBWANA SAMATTA AFARIKI DUNIA

Baba mzazi wa mchezaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta, Mzee Ally Samatta, amefariki dunia asubuhi ya leo, Julai 6, 2025. Msiba upo Mbagala, jijini Dar es Salaam, ambapo familia, ndugu, jamaa na marafiki wamekusanyika kuomboleza msiba huo mzito. Timu ya Global TV ipo eneo la tukio na itaendelea kukuletea taarifa kamili kuhusu msiba…

Read More

KOCHA YANGA:MAYELE ATAKUWA MFUNGAJI BORA

MWINYI Zahera aliyewahi kuifundisha Yanga na kwa sasa akiwa ndani ya Polisi Tanzania ameweka wazi kuwa anaona tuzo ya mfungaji bora ikienda kwa Fiston Mayele. Zahera alikuwa benchi Juni 6, 2023 aliposhuhudia ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma Simba 6-1 Polisi Tanzania huku Saido Ntibanzokiza akitupia mabao matano na bao moja likifungwa na Israel…

Read More